Friday, August 31, 2012

GODFREY MOSHI NA DEBORA KISINGA WAMEREMETA DODOMA

 
Godfrey na maiwaifu wake Debora wakionyesha Glass za furaha ya ufunguzi wa sherehe yao
 Wanadumisha lile neno walilobadilisha wachaga (wonderful) kwa kuwa Godfrey ni Mchaga
Fursa ya kuserebuka hapo
Godfrey na Debora wakiwa na kamati nzima. Walibahatika kuwa na ma MC watatu mmojawapo
Mc Kessy. MC waliongozwa na Meya mstaafu wa Mji wa Dodoma

Thursday, July 19, 2012

HARUSI YA OMARY NA MYWAIFU WAKE


OMARY NA MYWAIFU WAKE.

 ....Walimeremeta sana

Dada Rehema akitoa busu kwa wifi yake

...........Kumbe Omary ana tabasam nzuri sana

..Nakulavu Omary................Nakulavu mywaifu wangu
 

Saturday, July 14, 2012

MC KESSY AKIWA KAZINI KWENYE HARUSI YA MILLARY NA ROSE

                    Bwana Harusi Millary na Bibi Harusi Rose wakiingia ukumbini Vijana Kindondoni
                                            Mwenyekiti anafanya ukaribisho kwa wageni
 
Bwana Harusi Millary na Mkewe Rose mary-Harusi ilikuwa ukumbi wa vijana kinondoni
                        Bwana Harusi Millary na Mkewe pamoja na mdogo wake Bwana Harusi -
                                        Harusi ilikuwa ukumbi wa vijana kinondoni
                                           Bwana na Bibi Harusi Millary na Bibi Harusi Rose
                           Camera Personal Wangu akifanya mambo ili yawe kwenye kumbu kumbuz
                                                         Hata MC anajua Kwaito Bana
                                                                     Kazi inakwenda hiyo
                                                         Kwa madiba sauzi tupo hapo
                                              Kwaito kwa waalikwa kama kawaida
                                         Kwaito limeshika hapo, Mc anaonyesha manjonjo
                                                            Lediz wamengaa Bana
                                     MC Kessy akifanya mambo - Ukumbi wa vijana kinondoni
                                                              MC Kessy akifanya mambo
                       MC na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Magdalena Uhwello
                                                                       Maids
                               MC Kessy anawauliza wageni upande wa pili kama wamelala au la?

Tuesday, July 10, 2012

HARUSI YA NDUGU YANGU KLETUS SHAYO 2011

Kletusi na Mywaifu wake Jesca Seme Shayo

Mbele ya Madhahabu ya Kanisa wakila kiapo cha kuishi milele

Kletusi na Waifu wake pamoja na wazazi na wasimamizi wao

Wapendwa hawa wakionyesha ushahidi wa kanisa na serikali na mbele za watu wa ndoa yao

Mc Kessy akitoa sala ya awali ya kubariki Sherehe/Tafrija ya Shayo na Mkewe Jesca

Mc Kessy akiwa msimamizi na mkewe lakini na fani yake hakuiacha nyuma... anafungua Champing